Msimsingizie TB Joshua, hajawahi mtabiria Lowassa urais
kwani kwenda kusali kwa TB joshua ndo kunakompatia mtu uraisi?? mbona wengi tu wanakwenda kusali huko je ni wanataka uraisi ama?? mwacheni EL apumuweeeeeeeee eboh!
bora na wewe umeliona manake .................Kweli bana, wamwache apumuwe nakupumuwaaaa
Aliyetangaza kugombea urais hadi sasa ni Zitto na Shibuda (tena wote CDM), lakini cha ajabu watu wanamshambulia EL
Maandiko yanasema, "mta tanga tanga sana kumtafuta Mungu yuko wapi."