NdioooooooooooooooooooooooooooooooWenye timu zenu, mnasumbuka sana, mimi sifuati Radio, mimi huwa nafuata kipindi, hata kiwe kinatangazwa na radio gani nitasikiliza tu. Mfano: Saa 05:00 radio free ama TBC Taifa, 06:00 redio free, BBC.
06:30 redio free tuongee mageziti, 07:00 hapaa naweza nikaweka radio yeyote yenye habari mpaka saa 08:00 WAPU FM magazeti, 09:00 E FM sport HQ, baada ya hapo naweza weka radio yeyote yenye kipindi nitakachokipenda. Alasiri saa 16:00
Radio free, mambomabo, 18:00 cloud fm ama. E fm taarifa ya habari, 18:30 E fm, kuna kipindindi jina nimekisahau ila watu husimulia mikasa waliyowahi kukumbana nayo. 19:00 E fm kipindi cha michezo, baada hapo naweza sikiliza radio yeyote mpaka saa 21:00 Cloud fm kipindi cha michezo baada ya hapo radio yeyote nasikiliza. Ila kila Alhamis ifikapo saa 22:00 nasikiliza muziki wa zamani radio free, Jumamos saa 21:30 nasikiliza muziki wa zamani pale radio uhuru, juma pili saa 20:00 E fm, mziki wa zamani.
NdiooooooooooooooooooooooooooooooOh samahani nilisahau mkuu ujue tumeathiriwa na mfumo mpya wa kibunge kama mleta mada alivyojieleza kwa mambo ya ndioooo nami nikajikuta nimeassume tuko mjengoni halafu ndo nimeuvaa uenyekiti wa bunge
Mm ni mtu wa mitandao ya kijamii kwa Muda mrefu, isipokua jf tu ndio sikua nimejiunga rasmi ila nimekua nikisoma habari za siasa tangu general election 2015 kulikua na heated debate kipindi cha uchaguzi, nilikua na akaunti niliyoifungua wakati huo wa uchaguzi Ingawa sikua nimeitumia hata kidogo, nilisahau password siku nyingi, Ndo nikafungua mpyaNo simaanishi hivyo, nimeona ni mgeni lakini michango yako ni kama ya mtu wa zamani.
Na avatar uliyochagua pia inanifikirisha.
Waliosema ndiooo wameshinda. Sasa namwita katibu (mleta mada), tuendelee na shughuli za leo.Ndioooooooooooooooooooooooooooooo
Mm ni mtu wa mitandao ya kijamii kwa Muda mrefu, isipokua jf tu ndio sikua nimejiunga rasmi ila nimekua nikisoma habari za siasa tangu general election 2015 kulikua na heated debate kipindi cha uchaguzi, nilikua na akaunti niliyoifungua wakati huo wa uchaguzi Ingawa sikua nimeitumia hata kidogo, nilisahau password siku nyingi, Ndo nikafungua mpya
Ndioooooooooooooo@pawapawMm ni mtu wa mitandao ya kijamii kwa Muda mrefu, isipokua jf tu ndio sikua nimejiunga rasmi ila nimekua nikisoma habari za siasa tangu general election 2015 kulikua na heated debate kipindi cha uchaguzi, nilikua na akaunti niliyoifungua wakati huo wa uchaguzi Ingawa sikua nimeitumia hata kidogo, nilisahau password siku nyingi, Ndo nikafungua mpya