E-FM punguzeni utoto hata mkikosa cha kuongea

E-FM punguzeni utoto hata mkikosa cha kuongea

EFM popularity has only been triggered by the desire among listeners for something different after the decade-long domination of Clouds FM. Now the weakness on the part of EFM is that they have failed to capitalize on that expectation by coming up with even more new, untested ideas. And the more they fail to
grasp this truth, the more the listeners become
aware of the fact that Clouds FM is likely to remain an unchallenged FM radio station for many years to come.
umekopi au umeshuka mwenyewe?
 
Ni kipindi cha sport extra. Kiukweli punguzeni utoto mtafanya watu wawachoke kabisaa kabisaa.

Mnatumia Dk kumi nzima kuongea vituko, ati wanataja majina ya watu wengine wanaitikiaa ndioooo

Jamaal malinzii ndioooo

Hasaaan messy ndiooooo

Matolaa wa Jf ndiooooo

Wapi miss masaai ndioooo

Invisible wa tandikaaaa ndioooo

Wapi mwanakijiji wa bonyokwaa ndiooo..yaani toka makongo MPAKA unafika mliman city n hivi vituko nop badilikeni mkiona kipindi Amnaa chakusema punguzeni mda
inaonyesha jinsi gani sio mdau wa Radio kwanza kipindi cha SPORT EXTRA ni cha CLOUDS FM sio EFM cha Efm ni SPORT HEAD QUTER
 
Toroka uje huku Times Fm uburudike na kipindi cha wizara ya michezo aka dokodoko kila siku j3 hadi ijumaa kuanzi saa moja kamili usiku hadi tatu kamili usiku.
Hutojutia maamuzi.
 
Toroka uje huku Times Fm uburudike na kipindi cha wizara ya michezo aka dokodoko kila siku j3 hadi ijumaa kuanzi saa moja kamili usiku hadi tatu kamili usiku.
Hutojutia maamuzi.
Hao wanafahamika kwa taarab zaidi
 
Ha ha ha imekua ni bunge?
Oh samahani nilisahau mkuu ujue tumeathiriwa na mfumo mpya wa kibunge kama mleta mada alivyojieleza kwa mambo ya ndioooo nami nikajikuta nimeassume tuko mjengoni halafu ndo nimeuvaa uenyekiti wa bunge
 
Ni kipindi cha sport extra. Kiukweli punguzeni utoto mtafanya watu wawachoke kabisaa kabisaa.

Mnatumia Dk kumi nzima kuongea vituko, ati wanataja majina ya watu wengine wanaitikiaa ndioooo

Jamaal malinzii ndioooo

Hasaaan messy ndiooooo

Matolaa wa Jf ndiooooo

Wapi miss masaai ndioooo

Invisible wa tandikaaaa ndioooo

Wapi mwanakijiji wa bonyokwaa ndiooo..yaani toka makongo MPAKA unafika mliman city n hivi vituko nop badilikeni mkiona kipindi Amnaa chakusema punguzeni mda
ACHA USHAMBA,, WE SEMA HUJAELEWA KILICHOKUA KINAZUNGUMZWA.
 
Mkuu unamaanisha hakuna mtu mpya anaeweza kujiunga na jf kwa sasa?

No simaanishi hivyo, nimeona ni mgeni lakini michango yako ni kama ya mtu wa zamani.

Na avatar uliyochagua pia inanifikirisha.
 
Wenye timu zenu, mnasumbuka sana, mimi sifuati Radio, mimi huwa nafuata kipindi, hata kiwe kinatangazwa na radio gani nitasikiliza tu. Mfano: Saa 05:00 radio free ama TBC Taifa, 06:00 redio free, BBC.
06:30 redio free tuongee mageziti, 07:00 hapaa naweza nikaweka radio yeyote yenye habari mpaka saa 08:00 WAPU FM magazeti, 09:00 E FM sport HQ, baada ya hapo naweza weka radio yeyote yenye kipindi nitakachokipenda. Alasiri saa 16:00
Radio free, mambomabo, 18:00 cloud fm ama. E fm taarifa ya habari, 18:30 E fm, kuna kipindindi jina nimekisahau ila watu husimulia mikasa waliyowahi kukumbana nayo. 19:00 E fm kipindi cha michezo, baada hapo naweza sikiliza radio yeyote mpaka saa 21:00 Cloud fm kipindi cha michezo baada ya hapo radio yeyote nasikiliza. Ila kila Alhamis ifikapo saa 22:00 nasikiliza muziki wa zamani radio free, Jumamos saa 21:30 nasikiliza muziki wa zamani pale radio uhuru, juma pili saa 20:00 E fm, mziki wa zamani.
 
Ni kipindi cha sport extra. Kiukweli punguzeni utoto mtafanya watu wawachoke kabisaa kabisaa.

Mnatumia Dk kumi nzima kuongea vituko, ati wanataja majina ya watu wengine wanaitikiaa ndioooo

Jamaal malinzii ndioooo

Hasaaan messy ndiooooo

Matolaa wa Jf ndiooooo

Wapi miss masaai ndioooo

Invisible wa tandikaaaa ndioooo

Wapi mwanakijiji wa bonyokwaa ndiooo..yaani toka makongo MPAKA unafika mliman city n hivi vituko nop badilikeni mkiona kipindi Amnaa chakusema punguzeni mda
Sio lazima kuskiliza
Weka taarab cheza
 
Back
Top Bottom