jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Sep 19, 2016 #1 Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua kibaha mkoani pwani
Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua kibaha mkoani pwani
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,544 Reaction score 35,405 Sep 19, 2016 #2 Ndio media zetu hizo. Acha wampe sapoti tu
Eliamini JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 618 Reaction score 744 Sep 19, 2016 #3 Tunasepa na kijiji ndo habari ya town madhee