Ni changamoto gani zinalikabili soko la biashara za kimitandano mfano jumia, zoomtanzania, kupatana n.k na wewe kama mtumiaji wa huduma hizi nini kina kukwaza katika utumiaji wake na ni kitu gani ungeshauri kifanyike(boreshwa) ili kuwezesha watu wapate uelewa wa matumizi ya biashara za mitandaoni??