DW (Idhaa ya Kiswahili) mna agenda gani juu ya serikali ya Magufuli?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Tangu marudio ya uchaguzi wa Zanzibar mmekuwa na tabia ya kumuandika vibaya mpendwa wetu kwa njia za vibonzo. Najua anayo madhaifu mengi tu kama wanadamu wengine tulivyo, ila kwanini yeye tu? Vp Kenyata, Nkurunzinza, Kagame, Museven na wengineo? Mbona hawa hamuwaandiki mfululizo kama mpendwa wetu, mna agenda gani ya gizani?

(Hizi ni baadhi ya Picha tu)
 
Attachments

  • CePkm2cWsAAdFNR[1].jpg
    CePkm2cWsAAdFNR[1].jpg
    33.6 KB · Views: 93
  • FB_IMG_1467564824677[1].jpg
    FB_IMG_1467564824677[1].jpg
    25.7 KB · Views: 114
  • Screenshot_2016-07-03-19-51-28~2[1].jpg
    Screenshot_2016-07-03-19-51-28~2[1].jpg
    15.2 KB · Views: 87
  • Screenshot_2016-07-03-19-49-26~2[1].jpg
    Screenshot_2016-07-03-19-49-26~2[1].jpg
    18.5 KB · Views: 95
  • 13508998_1234982613213730_271379292288910971_n.jpg
    13508998_1234982613213730_271379292288910971_n.jpg
    98.9 KB · Views: 110
  • 13178010_1204468556265136_257075441133272067_n.jpg
    13178010_1204468556265136_257075441133272067_n.jpg
    42.8 KB · Views: 111
Tangu marudio ya uchaguzi wa Zanzibar mmekuwa na tabia ya kumuandika vibaya mpendwa wetu kwa njia za vibonzo. Najua anayo madhaifu mengi tu kama wanadamu wengine tulivyo, ila kwanini yeye tu? Vp Kenyata, Nkurunzinza, Kagame, Museven na wengineo? Mbona hawa hamuwaandiki mfululizo kama mpendwa wetu, mna agenda gani ya gizani?

(Hizi ni baadhi ya Picha tu)
Kuna Mtangazaji wao anaitwa Mohammed Khalef huyo bwana ni muasisi wa Pemba movement ukienda kwenye wall yake ya facebook anachohubirio yeye ni siasa za kibaguzi na uzushi na chuki zake kwa watu wa Unguja.Naweza kusema ni miongoni mwa wana propaganda wakuu wa CUF kwenye mitandao na anawalisha watu sumu kupindukia
 
Tangu marudio ya uchaguzi wa Zanzibar mmekuwa na tabia ya kumuandika vibaya mpendwa wetu kwa njia za vibonzo. Najua anayo madhaifu mengi tu kama wanadamu wengine tulivyo, ila kwanini yeye tu? Vp Kenyata, Nkurunzinza, Kagame, Museven na wengineo? Mbona hawa hamuwaandiki mfululizo kama mpendwa wetu, mna agenda gani ya gizani?

(Hizi ni baadhi ya Picha tu)
Wao wameamua kumuandika wakwetu nawewe unao Uhuru wakuwaandika hao uliowataja....Kwanini uwachagulie watu chakusema?
 
Ukiona anasemwa sana vibaya ujue una tatizo.
Mtu ukisifiwa sana au kupondwa sana ujue ni tatizo.inatakiwa kuwa na uwiano
Wote tuna madhaifu ila kwanini yeye tu, wanatumwa na nani?
 
Nadhani hakuna taaluma isiyo na mipaka
We we uko Africa mtawala anakuwa naakili nyingi kuliko wananchi wake atakachoamua ndio hicho sasa wenzetu huko wameshatoka...!,so wakitunanga tuvumile hadi tutakaporekebisha ..yale wanayotusema
 
Huyo unayemwita mpendwa wenu inawezekana naye wamemchagua kuwa mpendwa wao kwenye vibonzo!!
 
Kwa hiyo kwako wewe 'madudu' aliyofanya Jecha ya kufuta matokeo ya uchaguzi huru na wa haki uliofanyika October 25 mwaka jana, na kuelezwa na waangalizi wote wa uchaguzi wa ndani na nje ya nchi kuwa uchaguzi ule ulikuwa huru na haki.

Kwa hiyo Unataka huyo Jecha anayekingiwa kifua na watawala, vyombo vya habari vifumbie macho ubakaji huo wa demokrasia wa wazi?

Hivi kwa huyo Magu kusema kuwa hawezi kuingilia mambo ya Zanzibar kuhusu uchaguzi huo na wakati huo huo akivijaza vyombo vya dola huko Zenji kuwadhibiti wote anaodai wanafanya fyoko fyoko, kwa hiyo kwako wewe unaona Presidaa yuko sahihi na hapaswi kukosolewa na vyombo huru vya habari?
 
Burundi walifanya uchaguzi mmbovu kuliko sisi ila sijaona harakati kama hizi
 
Huwezi kuhalalisha uovu ukilinganisha na uovu mwingine.....

Suala la Zenji liko wazi kuwa Jecha 'aliagizwa' na watawala ayafute matokeo ya uchaguzi wa October 25 mwaka jana, baada ya kubaini kuwa mgombea wao ameangukia pua........

Sasa kuna sababu gani ya kuendelea kufanya chaguzi kila baada ya miaka 5, iwapo watawala hawako tayari kwa mgombea mwingine yeyote kutangazwa mshindi zaidi ya mgombea wa Chama Chao?!
 
Mimi sijaelewa,ina maana Jamaa yupo kundi moja na Nkurunzinza na Mseveni au nimesoma kwa makengeza

Back
Top Bottom