Dw habari

huko ndiko wanakosema kuna demokrasia.
 
Wewe ungependwa uitwe nyani?
Demokrasia ipo ndio maana wamechukua hatua
Mimi nadhani huo ni Udikteta kwa maana kila mtu anao uhuru wa kutukana anavyopenda, si ndivyo mnavyotaka nyie kupewa ruhusa ya kutukana??
 
Akifika kwao anyongwe mara moja. Haiwezekani serikali yao inapambana kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na Afrika ili wawapatie sehemu mbadala ya kufanyia shughuli za uchumi halafu yeye analeta ujinga!
 
Wote ni wale wale tuu... Tofauti ni moja tu yeye kaongea mitandaoni wao wanatuteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…