Dvd rom imekufa, nawezaje kufomat laptop yangu?

Mayu

JF-Expert Member
May 11, 2010
6,624
10,682
Jamani dvd rom yangu imekufa haisomi chochote baada ya kuhangaika nayo sana.
Nawezaje kufomati laptop yangu
 
model?
linux unaweza install kwa kutumia USB stick.
Ila inabidi bios iwe na uwezo wa ku boot kutoka ktk usb device. Hata alaternative ya Belo ni useless kama huwezi boot toka ktk USB device
 
Natumia OS window 7 ultimate.
HP G 5000
 
tafuta mtu mwenye dvd rom itoe kwenye kasha lake la chuma then chomoa ule mlango wake wa mbele ipachike kwenye mashine yako then piga mzigo kaka. some tym meno ya nyuma haya ingiliani unakuta ni refu kidogo isikupe shida fingua hizo screw kwa nyuma kuna ki adaptor una kuvuta tu kina toka then uta ona meno yanayo endana na pc yako .ila nyingi zina ingilianan meno kasoro ule mlango wa mbele tu. ukisha maliza rudishia dvd rm ya watu vizuri off you go
njia nyingine tengeneza bootable flash check googleset mashine yako i boot kwenye flASH ULIYO TENGENEZA KWA KUPRESS f12 chagua flash .
au replace with a new rom
 
model?
linux unaweza install kwa kutumia USB stick.
Ila inabidi bios iwe na uwezo wa ku boot kutoka ktk usb device. Hata alaternative ya Belo ni useless kama huwezi boot toka ktk USB device
hata siku moja haiwi useless coz me ndio huwa naitumia kwenye mini laptop yangu na kufunga windows kwenye pc zilizokufa cd rom kama hizo.
 
model?<br />
linux unaweza install kwa kutumia USB stick.<br />
Ila inabidi bios iwe na uwezo wa ku boot kutoka ktk usb device. Hata alaternative ya Belo ni useless kama huwezi boot toka ktk USB device
<br />
<br />
hata window 8 pia anaweza kuboot kwa USB flash
 
hata siku moja haiwi useless coz me ndio huwa naitumia kwenye mini laptop yangu na kufunga windows kwenye pc zilizokufa cd rom kama hizo.
sijakuelewa, yaani bios hairuhusu ku boot kwa usb lakini unaboot kwa usb? Au sijaelewa ulichoandika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom