DVD-R DL 8.5 gb

DVD-R DL 8.5 gb

ebr

New Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu ninawaombeni msaada wenu,DVD-R DL 8.5 gb nitazipata wapi?
(Already nishajaribu baadhi ya maduka kuzitafuta lakini inaonekana hawana)

Please help me:noidea:
 
huku kwetu wanauza rejareja 8gb kwa buku, 4gb mia saba tu. Zipo kibao
 
upo wapi wewe. arusha zipo wanauza 3,000/=
 
Back
Top Bottom