Dvd 8.5 gb haifunguki

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
Nimenunua dvd ya imation +R DL 8.5 GB na rafiki yangu kaniwekea data humo lakini alipojaribu kuicheza kwake inafunguka lakini haionyeshi kitu, na nimeichukua na mimi nimejaribu kuicheza kwenye DVD RAM mbili tofauti bado inafunguka tu lakini haionyehi kitu.
Ukiiangalia kwa macho tu ya kawaida inaonekana imekuwa burned.
Je nifanyeje nione content?
Je kuna kitu kinakosa?
 
Aliye burn anasema ali burn na ikaisha vizuri.
Isitoshe hata mimi niliwahi kukutana na shida kama hii hii kwa hizi dvd za 8.5 DL. Au kuna special way of burning them?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom