Wakuu nawaombeni msaada kuhus google earth haifunguki kwanini?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
Natowa kwanza heshima kwa ndugu zangu wote wahusika nawaombeni msaada wenu munisaidie au kama kuna mtu mwengine ana matatizo kama haya aweze pia kunsaidia

kawezaje kuyatatuwa. nimejaribu kuiweke Google Earth Pro kwenye Desktop Computer wakati najaribu kuifunguwa haifunguki wakati mwengine napata message kuwa nina matatizo

ya internet connection kisha inaniambia nijaribu tena nimejaribu kuiondowa hiyo Google Earth Pro na kuiweka ya kawaida ya free Google Earth lakini mambo yenyewe ndivyo hivyo hivyo haifunguki na wala ile dunia haiji hapo kwenye Screen yangu nawaombeni msaada wenu nifanyeje kutatuwa hayo matatizo natumia Microsoft Windows 7 Ultimate

Maelezo ya Computer yangu ni hii hapa Windows 7 Ultimate
Processor Inter(R) Pentium(R) 4 CPU 3.06 GHZ GHZ 3.07
Installed Memory (RAM) 3,00 GB
Sytem type 32-bit Operating system
Pen and Touch : No Pen or touch input is available for this display
 
Proxy Settings?
Proxy setting yangu haina matatizo google earth ndio hai connect internet na haifunguki lakini natumia Yahoo Messenger Windows live Messenger na Google Chrome na Firefox zote zinafunguka pasipo na tabu ni hiyo tu google earth yenye hayo matatizo asante .
 
nina maana Proxy setting za google earth.
Sio mtumiaji wa GE, lakini hili huwa mara nyingi ni tatizo
 
1. Kuna application nyingine sometime zinasumbua ikiwa Screen resoltion ya monitor ni kubwa sana au ni ndogo sana. jaribu kubadilisha mnitor resolution uone.

2. Au tatizo laweza kuwa files za GE katika user profile yako zimecorrupt. unaweza kujaribu kuifungua GE kwa kuingia kwa user name nyingine. Kama ukitumia user name nyingine GE inafunguka basi tatizo ni profile. Dawa itakuwa kufuta folder la la GE kwenye user profile yako

Kama ingekuwa XP fuata path hii.
C: /Document and Setting/Mzizimkavu/ Application data/ Google/ google earth

Futa mafaile yaliyo ndani ya folder ya google earth.
 
na kama issue ni proxy settings, solution ya Mtazamaji ina deal na hilo pia. Unaweza kuingia kwenye stting, proxy setting na uchague system default/browser default/no proxy. Inategemeana na jina walilotumia
 
1. Kuna application nyingine sometime zinasumbua ikiwa Screen resoltion ya monitor ni kubwa sana au ni ndogo sana. jaribu kubadilisha mnitor resolution uone.

Kuhusu Screen monitor resolution haina matatizo kwani mimi natumia Screen monitor resolution size ya
19-inch standard ratio LCD monitor
1280 × 1024 recommended resolution for your monitor. kwa hiyo hakuna matatizo kuhusu Screen monitor resolution.

2. Au tatizo laweza kuwa files za GE katika user profile yako zimecorrupt. unaweza kujaribu kuifungua GE kwa kuingia kwa user name nyingine. Kama ukitumia user name nyingine GE inafunguka basi tatizo ni profile. Dawa itakuwa kufuta folder la la GE kwenye user profile yako

Kama ingekuwa XP fuata path hii.
C: /Document and Setting/Mzizimkavu/ Application data/ Google/ google earth

Futa mafaile yaliyo ndani ya folder ya google earth.

Siyo tu Kufuta Mafaili mkuu mtazamaji nimeiondowa kabisa kule ADD OR Remove Programs na kuiweka tena Google Earth Matatizo bado yapo pale pale kichwa kinaniuma sijuwi cha kufanya nimejaribu kuulizia Google Search Engine sijapata jibu zuri nifanyeje jamani? nawaombeni msaada wenu
 
na kama issue ni proxy settings, solution ya Mtazamaji ina deal na hilo pia. Unaweza kuingia kwenye stting, proxy setting na uchague system default/browser default/no proxy. Inategemeana na jina walilotumia

Mkuu internet Properties ( Options) ipo System Default/Browser Default/no Proxy, kila program yangu inafanya kazi pasipokuwa hiyo Google Earth ndio haifanyi kazi inanisumbuwa sana kiasi mpaka nimefika hapa kuulizia nipate msaada wa kifundi inamanisha mimi

nimeshindwa mpaka ikafika kuiondowa nakuiweka tena lakini matatizo yapo pale pale kichwa changu kinaniuma nimekuwa kama mwendawazimu kwa kutafuta huo ufumbuzi na bado sijapta nataka ushauri wako mwengine unipe asante sana Mkuu YeshuaHaMelech
 
Siyo tu Kufuta Mafaili mkuu mtazamaji nimeiondowa kabisa kule ADD OR Remove Programs na kuiweka tena Google Earth Matatizo bado yapo pale pale kichwa kinaniuma sijuwi cha kufanya nimejaribu kuulizia Google Search Engine sijapata jibu zuri nifanyeje jamani? nawaombeni msaada wenu

Hiyo njia niliyokupa ni ya kufuta profile. unaweza kuunisntall porgram lakini baadhi ya mafaili huwa yanabaki. . Na hayo mafaiili ya profile hayaondoki. Ndio maana nimekwambia

  • Jaribu kuingia kwa user name nyingine. Ikiwezekana create new username then jaribu kuingia na kufungua GE. GE ikifunguka kwa juser name nyingine tatizo litakuwa ni profile yako.
  • Kurekebisha rpfile yako ya GE ndo futa file kama nilivyokulekeza. Ku unistall program na kufuta profile ni vitu viwili tofauti. Program zinakuwa kwenye folder la Program files na Profile files zinakaa kwenye folder ya C: /Document and Setting/Mzizimkavu/ Application data/ Google/ google earth
 
Haelewi huyo mtu, mwambie ale kona asiumize vichwa vyetu bana. Mbona mimi hapa GE nakula jiografia ya dunia kama kawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom