Duuh usiombe ikukute maana...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuh usiombe ikukute maana......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by stevoh, Oct 26, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wanajamvi..
  salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach.
  ilikua hivi
  nimetoka na washikaji naenda beach, Mtoto wa kike akapiga sim Stevoh unaenda beach nisubiri twende wote. Tukafika beach tumekaa kumbe bana jua linawahi kuingia kuja kushtuka mda umeisha duuh ikabidi nianze kuwawahi masela ile tunakaribia kufika si wakatokea wanaoitwa Vibaka wa3 wakatuweka chini ya ulinzi. Mtu mzima nikaambiwa kaa chini nikamcheki boya wangu kashika kisu kihasarahasara ile namalizia kumyang'anya akamwita mwenzake "oyaa huyu Mmbishi" ikabidi niachie kisu wakati huo wote tumejikata wakati wa purukushani. Ikabidi niwe mpole wakachukua simu yangu KIPENZI "NOKIA E51" ambayo ilikua inanisaidia kuperuzi JF na ku"Google"
  yani leo ndo nimepata simu nyingine ikanibidi niadisie mkasa sasa ivi nauguza kidonda changu na machungu ya simu yangu. Omba Mungu lisikukute kuwekwa chini na Vibaka maana .......
   
 2. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,371
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Pole sana stevoh, hata Mentor lilimpata la kumpata juzi hapo Kigamboni. Dawa ya hao vibaka ni kuyarestisha in pisi fasta.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Pole sana Kamanda wangu!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,840
  Trophy Points: 280
  Mungu ni mwema bora wameiba hiyo simu wakakuachia uhai wako!

  Pole sana na mshukuru mungu!
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu...Nenda ukajifunze kung fu ili siku nyingine ikitokea usihadhirike.
   
 6. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  bahati nzur naweza kusema vibaka wa huku kigamboni wana huruma
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  shukran mkubwa. Mzima wewe?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  pole sana. Ajira milioni moja hizo
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  pole sana stevoh, mshukuru Mungu hawakukufededa!!!!!
  simu kitu gani, si unaona ushapata nyingine. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  em nijuze kwa hapa dar ni wap? Pawe karibu na kigamboni maana ndipo nilipo kwa sasa
   
 11. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hapo umenena mkuu
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  pole

  ila bora mie muoga, 12 niko home saa mingi
   
 13. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  unamaana gani???
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  asante. endelea kukaa ndan nje sio
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu,ndio maana hawa jamaa sinaga huruma nao cku zote.
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  kwa huko hata sijui aisee...labda nimuulize masta wangu...ila kama ingekuwa ni huku A-town ingekuwa rahisi sana.
   
 17. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dah pole kwa masahibu mbele ya vibaka saluti ila sio ishu umeachiwa uhai,hawajakufededa kama cl alivyosema na simu unayo nyingine
   
 18. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  pole dear stevoh
   
 19. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hw are u my niece hw is ur dad doin maana sijawasiliana nae kitambo
   
 20. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  ngoja Elizabeth Dominic aje akwambie maanaake! shost hebu pitia pande hizi puliz. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...