Duu

itakuwa kale katatizo ka nguvu za 'msumari' sio huku bara la giza pekee.

muda wa kulala unaeleweka na majukumu yake muhimu ni 'mechi' namuelewa sana dk Ndodi.

sasa kupekenyua smartphone muda muafaka, tumpe tiba gani.

wa mikoani sifa kwenyuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…