Duu kumbe inalipa

Hahahaa poa kamandaa umetumia fuslaaa
 
Usisahau kutoa fungu la kumi kamfereji kasije kakaziba.
 
Leo tanesco wamekata umeme na nimelipa buku plus bia ili nione mambo ya ukawa hapa kwa boni masawe ipo ipo kihonda
 
Imenilipa sana nimetoa buku 2 ya kiwese tu ndani ya kilo 3
 
Nimeuziwa soda buku mbili baadae nikanunua maji makubwa ya Kilimanjaro kwa buku bee unusu! Wakati kila siku bei zilikua za kawaida sana ila kila umeme ulipozingua tu mwenye Bar alikua anawasha jenereta faster sana
 

Huo ujasiriamali 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 usiache fursa ikupite
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??

Kumbe baadhi ya watu mnakuwa na fikiri sana naona hamna mtu aliegundua hiki , ukqeli si rahis hivyo
 
Ina maana banda lako lina uwezo wa kubeba idadi ya watu 600??
Maana 300,000 gawa kwa 500 tunapata 600.
Ni banda au ukumbi??

Mimi ni mfuasi wa Lowasa lakini mtoa mada hebu jibu hii concern tafadhali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…