Duu kavua kweli

Hahahahahaaa! Hivi akishavua;
-atavaa tena au itakuwa ndiyo fasheni yake "milele"?
-u-waziri utaishia hapohapo au ataendelea kula " mkate wa marehemu"?
-hoja za "sieijii" zitakuwa zimejibika?
-kanuni,sheria ya mavazi itaenda kurekebishwa bungeni?Maana kuna watu nchi hii hawapendi kupitwa na fashion watataka waige.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…