Ni baada ya uchaguzi wa awali ili kupata wagombea wawili hivyo kesho ni kiama nani RAIS mteule wa CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA licha ya uchaguzi wa awali kugubikwa na utata mkubwa kwani inasadikika magamba yamesimamisha mtu wao katu wanachuo wameapa kuwa kamwe hawatakosea hata kama management itataka kufanya uhuni tumeapa kulinda kura kwa nguvu zote..........:embarassed2:🙂