Duplicate of Barack Obama

Mdogo wake nini?. Siunajua alikua philipono one time.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha, hayo koti lake sasa lol
 
....jamani wazazi....!! lohhh ona sasa mzee obama anvyoaibika,kila kona kazalisha mtoto...!
 
Tatizo la mdau afya yake kidoogo imemtupa mkono.
 
LIFE IT IS ALL ABOUT HAPPINESS.......!!!!!
Wameamua kujifariji.
 
Bado msosi tu "ajazizijazie" kama shekhe anavyopenda.
 
Teh teh tee yani na hao wanaomzunguka kutaka picha nae wanaona uyo ndo mwenyewe kabisa bwana Obama!!kaz kwel kwel
 
Ila kwa kiasi kikubwa huyu jamaa anafanana na Obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…