Duniani wawiliwawili… huyu ndio wa Iran anaefanana na Messi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Mwanafunzi wa Iran Reza Parastesh ameingia kwenye headlines hivi karibuni akiwa katika mitaa ya Iran na watu wengi wakimfananisha na mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi.
Screenshot_20170508-175518.jpg

Reza Parastesh ambaye aliingia katika headlines na kusababisha watu kumzonga wengine wakihisi ni Lionel Messi kutokana na jezi na style ya nywele na ndevu zake kuziweka kama Messi, Reza Parastesh alichukuliwa na Polisi na kufikishwa kituoni kutokana na kusababisha usumbufu na msongamano.

Screenshot_20170508-175502.jpg

Kwa sasa watu wananiona kama Lionel Messi na wanataka nifanye vitu kama anavyofanya yeye na ninapofanya baadhi ya vitu watu wanashtuka sana, nina furaha sana wakiniona mimi wanafurahi furaha ambayo mimi inanipa nguvu” >>>> Reza Parastesh
 
Back
Top Bottom