Duniani wawili wawili

Son of Gamba

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
4,718
Reaction score
6,979
Angalizo

Huyu mtoto hajatelekezwa na baba yake wala hamtafuti mzazi wake. Wala huyu mtoto hajaenda kwa Makonda kumtafuta baba yake wala nini. Tafadhali naomba wachangiaji msiihusishe picha hii na mtu yeyote yule. Hii picha nimekutana nayo huko kwenye Instagram kwenye account ya "udakutz".


Dogo anatoka zake shuleni anaenda home, hakika duniani, "wawili wawili".



 
Aliyepost hii Picha ajipeleke police kavunja haki ya Mtoto ya kuonyeshwa bila ridhaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…