Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,911
- 6,710
Hii nadharia ina maana nyingine tofauti na ninavyojua mimi? Kwamba upo na mwenza wako ndo Duniani wawili wawili?
Nadhani imewahi kukutokea umekutana na mtu ambaye anafanana kabisa na mtu mwingine ambaye unamjua. Unaweza ukamwita baada ya kuona haitiki ukagundua umemfananisha na kulazimika kumuomba radhi kwa usumbufu.
Kwamba hii sasa ndo Duniani wawili wawili?
Lakini pia wajuzi wa mambo wanasema hii hali ya kumfananisha mtu ndo hutumiwa kufanya human cloning kwa watu mashuhuri na kurekebisha baadhi ya kasoro hata ikibidi kufanya surgery ili huyu binadamu ambaye ni copy afanana kabisa na binadamu halisi.
Sijui ukweli ni upi maana uongo nao una nguvu lakini bado sijapata maana kamili ya Duniani wawili wawili nikitegemea kupata mawazo tofauti kutoka kwenu maana kwenye wengi kuna mengi.