Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,232
- 40,733
Kipigo cha maanahiki nikipondo c bure
πππWana mdomo kama dimond platinumz
Wananchi wenye hasira kaliWrite your reply...
Mbn kma wanataka kupigwa moto naona tairi wamekalia
Kumbe ni kipigo heavy, me nikajua wamedondokewa na ukuta. Hahahahaha watu walikua wanafumua midomo tu ili wafanane.Kipigo cha maana
πππKumbe ni kipigo heavy, me nikajua wamedondokewa na ukuta. Hahahahaha watu walikua wanafumua midomo tu ili wafanane.
Inayo fuata
πππHizo ni makeups tu hata wewe ukipakwa utafanana nao
πππWamepauka hao wanasubiri hukumu Inayo fuata
Aah kudadadeki..!! wamegongeshwa vya kutosha mdomo umekuwa kama kitumbua duh hataree na ghafla macho yamegeuka ya wachina