Duniani KUNA MATESO mengi sana

Maalim kama nimekuelewe, wakubwa wanabembea kwenye vichwa vya wadogo. Kweli ni mateso tu.
 
Kawaida sana. Hivyo vyote vinaingia kwenye Antonov na kukaa hewani.
 
ha ha ha...ujumbe kwa njia ya picha. kweli mateso duniani ni mengi sana. dude lote hilo kwenye hako ka mostini:confused2:
 
Mashine kama hizi watingaji hazitubabaishi, kujifunza ni nusu saa tu-twende kazi!
 
Lanyuma lasaidia sukuma, ndio style nzuri.
 
Kawaida sana. Hivyo vyote vinaingia kwenye Antonov na kukaa hewani.

unanikumbusha madege ya Kirusi, yanabeba mzigo wa maana alafu hayaitaji kukimbia sana ili liende hewani, mengi bado yapo DRC yanafanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…