Kuna mfanya biashara mmoja maarufu(jina kapuni) ametoa dau la Tshs 2.3 Bilioni kwa atakayemkamata Putin, hai au amekufa!
Sasa nimecheka peke yangu. Nikajisemea: "Isije ikawa kibao kikabadilika halafu tanangazo hilo ligeukie kwake!"
Putin ni mjanja kama nyoka! Na akiamua anampata!