Dunia yafafanuliwa mafanikio ya Samia

Dunia yafafanuliwa mafanikio ya Samia

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
913
Reaction score
792
HS9QhghXYAAcJ3t.jpg


■Yaelezwa uwekezaji miaka saba wa afya ulivyookoa maisha
■Ndejembi atamba UN, Samia alivyokubali wajibu wa Afrika
■Ataka mfumo bora wa fedha wa kimataifa kwa maendeleo
 
Hivi wakitoa speeches zao wanakuwa wakitaja jina la raisi, kwamba raisi wetu kafanya hili kafanya lile?

Mbona kama haipo sawa kabisa, hasa kwenye International arena!
 
Back
Top Bottom