Dunia ya Mola hii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Inasikitisha........binadamu unaeishi mshukuru sana Mungu kwa vile ambavyo amekufanya.kuna watu wana shida dunia hii ukiwaona wewe ulielala njaa ni tajiri.eeh Mwenyezi Mungu utuone wote utupe kile tunachokihitaji ktk maisha yetu kadiri utakavyo wewe..wote tuseme Ameen.
 
Kuna ule msemo kwamba Mungu hana upendeleo, binafsi hata sasa sijawahi kuielewa
Huo ni mtihani mkuu wamepewa wale ambao Mungu amewapa,kama huyo anatakiwa asaidiwe na wewe ambaye mf:umebarikiwa kusoma na kupata kazi nzuri,familia nzuri na una afya njema...huyo sometimes hapo hajala,hajajivika nguo kama una sifa hizo hapo juu ni sharti angalao umpeleke kwa mamantilie akale,mnunulie shati hata la mtumba(nimesema mfano) ila binaadam sikuhizi imani wala huruma hatuna ndio mana dunia tunaiona haina usawa.
 
Wabongo tuna roho ngumu sana katika kusaidia wagonjwa na wenye shida.

Ila kwenye kitchen party, sendoff, harusi n.k. tunatisha
 
Namshukuru Mungu amenipa moyo Wa huruma na kusaidia mwingine kile kidogo nilicho nacho, na ndio maisha yangu
 
Jamii tunajukumu la kuwatunza watoto wadogo kama hawa maisha wanayoishi hata mtu mzima huwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…