dunia ya leo hakuna kupenda

dunia ya leo hakuna kupenda

kepha anthony

Member
Joined
Apr 15, 2014
Posts
27
Reaction score
1
Dunia ya leo hakuan kupenda maada kila demu ana penda pesa je masikini apendwe na nani kama mapenz pesa je tuweke matabaka richman pekee yao na poorman peke yako tell me now my friends
 

sio kila mwanamke anapenda pesa
wapo wanaohitaji mahaba ya dhati baaaaab!!
 
Mademu wengi wa Leo hawataki kuanza na mtu asie na kitu hata Kama Ana mipango mizuri, wengi wanataka mtu ambaye Ana status yake ndio mapenzi yanakuwa mtihani.
 
Dunia ya leo hakuan kupenda maada kila demu ana penda pesa je masikini apendwe na nani kama mapenz pesa je tuweke matabaka richman pekee yao na poorman peke yako tell me now my friends

Usichukue sample ya mtaani kwako af uka-generalize
 
mimi naona kama tuwanyanyapae tu ili tuone kama watapendwa bank au kama uzuri sura wa tambue hata mbuz kapewa tu kama wanafnya biashara wapange mtaa usiku maduka tuone nani atakanye nunua
 
When a rich nigga want you, And your nigga can do nothing for you. These ho.e.s ain't loyal, Chris brown.
 
Asikudangaje mtu huwa mademu humpenda sn mwaume mwenye kitu cha ziada km fedha au nyumba nzuri na gari za kifahari
 
Dogo kuanzia jana unalalamika,mbona mashamba yapo kibao Morogoro,halafu tuone kama hutapendwa
 
unauliza maswali polisi?

kuna jangwa lisilo na mchanga kweli?

mtende kuota msitu wa kongo, majanga!
 
Tafuta pesa kaka we mwenyewe unapenda hela ukiwa na hela hata papuchi utapiga high quality zinazofaa kwa matumiz ya binadamu
 
Back
Top Bottom