Wanadanganya kwa faida gani mkuuJe ni kwanini mshale upo kwenye saa ya mkononi au ukutani hlakini haugusi namba zote kwa wakati mmoja?? we elewa tunapata usiku na mchana kwa sababu jua ni taa ndogo haiwezi kumulika dunia kwa mpigo inamulika huku ikizunguka, yaan kama mshale unavozunguka kutupa majira ya saa na dk ndiyo jua hutupa siku week mwezi na mwaka.
Ili waweze ku-establish new world order kirahisi. Yapo mabara katika north & south pole ambayo yapo duniani ila wanadamu tulio wengi hatuyajui!...wanadanganya dunia ni duara ili wapate faida gani mkuu ?
...sijakuelewa hapo kwenye mabara yaliyopo duniani ila hatuyajui mkuu,..if you can mention plus ufafanuzi kidogo.Ili waweze ku-establish new world order kirahisi. Yapo mabara katika north & south pole ambayo yapo duniani ila wanadamu tulio wengi hatuyajui!
...sijakuelewa hapo kwenye mabara yaliyopo duniani ila hatuyajui mkuu,..if you can mention plus ufafanuzi kidogo.
....thanks kwa maelezo mkuu
Umepitia secondary kweli? usingeuliza swali hili maana ni topic ya form one na hata huko primary wanagusia vitu hivi darasa la nne.Hata hivyo tunashukuru umeleta mada nzuri kikubwa umeweza kuandika kimaandishi.hivi kuna yeyote kati yetu alie wahi kwenda nje ya dunia na kuipiga picha tukaiona ni ya duara, si tunaletewa tu picha kwamba ni duara.., mi nimeamua kugoma mpaka niende nikahahakishe mwenyewe.., dunia sio duara kabisa..!
Nje ya dunia , mtoa mada hajuiIvi sisi tunaishi nje ya Dunia ama ndan ya Dunia?