Hahaa mbona unacheka kiongozi we shuka tuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haaaaa hapo ndo mbinde kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] afadhali wewe zimehamia chini wengine zimehamia katikati
Hata wazazi wetu walitamanika kwanzaAmtamaniye mwanamke kwa kumuangalia aneshazini naye Rohoni