Haya sasa kiko wapi,fedha za yule "Mhaini" zimekuponza,kafie mbele huko!
Haya sasa kiko wapi,fedha za yule "Mhaini" zimekuponza,kafie mbele huko!
kwanza TFF wachemfu sana ilikuwaje waruhusu huyu refa achezeshe mechi mbili za Yanga mfululizo? yaani baada ya kuwabeba na African Lyon wakamuona anafaa sana kuibeba Yanga
pili, huyu refa **** sana, kainyima simba penati ya dhahiri baada ya dogo edward christopher kumpiga chenga tutusa twite, dogo kaingia kwenye 18 nadir haroub kamvuta, penati hasa yeye akadai kajiangusha, angejiangushaje wakati beki yuko nyuma yake? **** kwelikweli
tatu, mwinyi kazimoto kachezewa faulo ya dhahiri kama sio ndani ya 18 basi ilikuwa just outside of the box(at the edge) yeye hata faulo hakupiga maana yake nini kama sio kuibeba yanga?
nne, ,mechi imeongezwa dakika 5 kwa kuwa berko alijifanya kuumia, yeye akachezesha tatu tu kwa nini?
Na ile kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa yanga unaizungumziaje?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
MHAINI Ni Hans pope mwenyekiti wa FOS Freinds of simba si alipata kuhukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa lakupanga kupindua nchi na kumua rais wa wakati huo HAYATI jk nyerere ila mwaka 1994 mwinyi alimtoa gerezani ndio maana anaitwa MHAINI Sababu kesi yao ilikuwa ikitajwa kama KESI YA UHAINI Na hivyo basi bado anaendeleza UHAINI Wake kwenye soka letu kwa KUHONGA Waamuzi
kwanza TFF wachemfu sana ilikuwaje waruhusu huyu refa achezeshe mechi mbili za Yanga mfululizo? yaani baada ya kuwabeba na African Lyon wakamuona anafaa sana kuibeba Yanga
pili, huyu refa **** sana, kainyima simba penati ya dhahiri baada ya dogo edward christopher kumpiga chenga tutusa twite, dogo kaingia kwenye 18 nadir haroub kamvuta, penati hasa yeye akadai kajiangusha, angejiangushaje wakati beki yuko nyuma yake? **** kwelikweli
tatu, mwinyi kazimoto kachezewa faulo ya dhahiri kama sio ndani ya 18 basi ilikuwa just outside of the box(at the edge) yeye hata faulo hakupiga maana yake nini kama sio kuibeba yanga?
nne,mechi imeongezwa dakika 5 kwa kuwa berko alijifanya kuumia, yeye akachezesha tatu tu kwa nini?
chamakh hivi mechi uliiangalia au umesoma kwenye lile gazeti la Msimbazi?, mana'ke wewe ndo mtu wa kwanza wa Simba kulalamika mechi iliongezwa dakika 3 badala ya 5,wenzako wote walikuwa wanaomba hata dakika zisiongezwe jinsi hali ilivyokuwa tete kwa upande wenu.Tofautisha kumvuta jezi na kumshika jezi. Wachezaji hugusana, hushikana na hupushiana. Inategemea amevutwa kwa kiasi gani. Hiyo jezi hata haikuwa stretched utasemaje alivutwa?
Mshukuruni yule mshika kibendera asiye na haya anayenyoosha bendera kila anpoona rangi ya kijani baada ya kupewa hela
Humfahamu? wee endelea kushangilia usajili mzuri tu
Afadhari yule mshika kibendera nae hana kazi?