Dunia ni zaidi ya tuijuavyo, cheza salama

Acha kutishiwa Mkuu. Hizo ni porojo. Nyota ni kufuata maagizo na Amri za Mungu.

Hizo nyingine ni porojo. Mungu kakuwekea Kifo na Uzima. Akasema chagua Uzima upate kuishi.

Ukiasi amri za Mungu utahangaika kutafuta mchawi aliyekuibia nyota kumbe mchawi ni wewe.

Acha kuhadaiwa. Dunia ni simple sana kama utaamua kuwa hivyo. Ni complex ukiamua kuifikiri hivyo.

Hako kazee ni Kaboya na kapumbavu. Sasa kana taka kukuambukiza wewe.

Shika Amri na maagizo ya Mungu alafu uone maisha yanavyonyooka. Nyota ni Amri na maagizo ya Mungu. Usipozishika inazima ghafla na hakuna wakuiwasha zaidi ya wewe mwenyewe ukuamua kumrejea Mungu.

Mkuu acha kugeuzwa mjinga ungali unaakili.

Hakuna uchawi kwa mtu anayeshika amri za Mungu.

Mke azalie sijui porini, Sijui umpeleke Ukweni au vituo vya Yatima Ikiwa utamgundisha kushika na kutenda kama Mungu atakavyo hivyo vijini mshenzi na Vishetani uchwara havitasogea.

Umemtag Mshana Jr ili aendelee kuwahadaa wajinga na wapumbavu.

Mafanikio ni Kumjua Mungu na Kufanya ayatakayo.
Umemtag Mshana Jr ili aendelee kuwahadaa wajinga na wapumbavu
.... . Aisee... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Jokajeusi umemaliza yote.

Yaani watu kwa kudanganywa. Suala linalohusu roho ni Mungu pekee ndio linamhusu. Unapozungumzia mafanikio unazungumzia Roho ya mafanikio ambayo Mungu ndio huitoa wala hakuna mwingine.

Mafanikio ni kuwa na furaha baada ya matokeo ya jambo fulani. Ndio maana Wale wanaotafuta mafanikio kwa Waganga hawayapati kwani lengo lao lilikuwa ni kufurahi lakini wanajikuta hawafurahi. Wanapesa lakini hakuna wanachokifurahia.

Huyo Mshana na genge lake wanajua kudanganya sana watu. Ni kama kina GwajiBoy.

Sema wajinga na wasiojitambua ndio huwasikiliza
 
Dah mwana umenikamia mbaya....

kuna vitu vitatu vimezungumzwa mpaka kwenye dini,uchawi,kijichona husuda/hasadi..hutakiwi kupinga wala kubisha hivi vitu zipo mpaka aya za kusoma kujikinga na husuda na majini na uchawi na vijicho na husuda.
hata mimi nilikua najifanya msomi eti nikiambiwa mbishi sikuwa naamini kabisa mambo hayo,nilipokuwa na familia nimepigwa sana hizi mambo ,..issue ya nyota kutumiwa na watu wabaya hyo ipo sana kama hujawahi sikia mtu anaitwa mchawi lakini hata huo uchawi hana wala haujui .
Tunachotakiwa ni kumuomba sana Mungu atukinge dhidi ya haya mambo kama umewahi pita kwenye majanga kama haya utaelewa nini naongea
 
Umemtag Mshana Jr ili aendelee kuwahadaa wajinga na wapumbavu
.... . Aisee... [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Wewe na Genge lako si ndio mnajaribu kuwahadaa watu kuhusu habari za kiroho. Eti mtu anaweza kuchukua Nyota yako. Kama sio upotoshaji wa kiwango cha lami ni nini.

Mafanikio ya mtu na kung'aa kwa nyota ya mtu ni Matokeo ya yeye kushika na Kufuata maagizo ya Mungu. Hii ni kusema Nyota ni amri na sheria za Mungu. Ili ufanikiwe kwenye maisha basi sharti ushike maagizo na Amri za Mungu.

Lakini hizo habari za vichawi na vijini chokoraa na vishetani ni upuuzi tuu na ujanja wa Waganga uchwara wanaotumia ujinga wa watu kama waliomo humu ndani kuwahadaa.

Nyota ni kusikia Sauti ya Mungu ambayo ni Amri zake za Upendo.

Nipo.
 
Jokajeusi sikuwahi kudhani kuwa wewe ni mmojawapo ambao hawakuwa wananielewa... Sikumbuki kukutana na wewe kwenye mada zangu... Lakini leo umejitambulisha vema
Kimsingi siandiki kuwahadaa watu kwa lolote lile... Naandika uhalisia wa kile nlilichokiona, kushuhudia na kujifunza katika maisha yangu... Na nilichofanya mimi ni kutoa elimu kwa watu wasihadaike na kudanganywa kwenye hayo mambo... Sifaidiki na chochote kile wala silipwi
Unaweza kubisha na kuniita majina yote mabaya lakini havitaondoa uhalisia wa kile nilichoandika na kuelimisha.. By the way mimi sio mganga wala mchawi
 
kuna vitu vitatu vimezungumzwa mpaka kwenye dini,uchawi,kijichona husuda/hasadi..hutakiwi kupinga wala kubisha hivi vitu zipo mpaka aya za kusoma kujikinga na husuda na majini na uchawi na vijicho na husuda.
hata mimi nilikua najifanya msomi eti nikiambiwa mbishi sikuwa naamini kabisa mambo hayo,nilipokuwa na familia nimepigwa sana hizi mambo ,..issue ya nyota kutumiwa na watu wabaya hyo ipo sana kama hujawahi sikia mtu anaitwa mchawi lakini hata huo uchawi hana wala haujui .
Tunachotakiwa ni kumuomba sana Mungu atukinge dhidi ya haya mambo kama umewahi pita kwenye majanga kama haya utaelewa nini naongea
Wewe na Genge lako si ndio mnajaribu kuwahadaa watu kuhusu habari za kiroho. Eti mtu anaweza kuchukua Nyota yako. Kama sio upotoshaji wa kiwango cha lami ni nini.

Mafanikio ya mtu na kung'aa kwa nyota ya mtu ni Matokeo ya yeye kushika na Kufuata maagizo ya Mungu. Hii ni kusema Nyota ni amri na sheria za Mungu. Ili ufanikiwe kwenye maisha basi sharti ushike maagizo na Amri za Mungu.

Lakini hizo habari za vichawi na vijini chokoraa na vishetani ni upuuzi tuu na ujanja wa Waganga uchwara wanaotumia ujinga wa watu kama waliomo humu ndani kuwahadaa.

Nyota ni kusikia Sauti ya Mungu ambayo ni Amri zake za Upendo.

Nipo.
Nimegundua Jokajeusi ana uelewa finyu kwenye haya mambo.... Vita halisi ya kiroho haiwi ngumu ukiwa upande wa shetani bali pale unapotaka kumkimbia....
Kama asemayo Jokajeusi yangekuwa sahihi... Walokole na washika dini wangeishi maisha ya raha sana
 
Jokajeusi sikuwahi kudhani kuwa wewe ni mmojawapo ambao hawakuwa wananielewa... Sikumbuki kukutana na wewe kwenye mada zangu... Lakini leo umejitambulisha vema
Kimsingi siandiki kuwahadaa watu kwa lolote lile... Naandika uhalisia wa kile nlilichokiona, kushuhudia na kujifunza katika maisha yangu... Na nilichofanya mimi ni kutoa elimu kwa watu wasihadaike na kudanganywa kwenye hayo mambo... Sifaidiki na chochote kile wala silipwi
Unaweza kubisha na kuniita majina yote mabaya lakini havitaondoa uhalisia wa kile nilichoandika na kuelimisha.. By the way mimi sio mganga wala mchawi

Zipo mada unazoelimisha lakini pia zipo unazopotosha hasa hasa hizi za Mambo ya kiroho. Yaani unaongeaga uongo mweupe kabisa.
 
Naomba uniwekee link zake hapa au unitag nizione.. Nitakufafanulia kwa weledi, upole na busara
 
Dah mwana umenikamia mbaya....

Huyo Mshana na genge lake wanajua kudanganya sana watu. Ni kama kina GwajiBoy.

Hahahaha!! Mkuu wewe ulichobakisha ni kuanzisha tuu Kanisa la Maombezi. Sijajua kipi kinakuzuia wakati content unayo. Au uwezo wa Kuwasilisha kwa mdomo ndio Tatizo.

Ila mada zako hasa za Kiroho ni kama za Gwajiboy. Yaani ujanja ujanja mwingi sana.

Samahani lakini ikiwa nimeenda nje ya Fikra zako
 
Usijali nilicho nacho kinanitosha sitaki nipate pesa ya mhitaji... Pesa sio kila kitu kwangu nina jinsi ya kuzipata ninazotaka[emoji23]
Kuhusu mada zangu kuwa za ujanjajanja hujanitumia link nizione
 
kuna vitu vitatu vimezungumzwa mpaka kwenye dini,uchawi,kijichona husuda/hasadi..hutakiwi kupinga wala kubisha hivi vitu zipo mpaka aya za kusoma kujikinga na husuda na majini na uchawi na vijicho na husuda.
hata mimi nilikua najifanya msomi eti nikiambiwa mbishi sikuwa naamini kabisa mambo hayo,nilipokuwa na familia nimepigwa sana hizi mambo ,..issue ya nyota kutumiwa na watu wabaya hyo ipo sana kama hujawahi sikia mtu anaitwa mchawi lakini hata huo uchawi hana wala haujui .
Tunachotakiwa ni kumuomba sana Mungu atukinge dhidi ya haya mambo kama umewahi pita kwenye majanga kama haya utaelewa nini naongea
Kwenye Biblia Takatifu mstari upi unaonesha jinsi ya kujikinga na uchawi ?
 
Mbna nyota zimejaa kibao Angani , kwanini wasiende wakaibe nyota kwa wazungu , nchi iendelee la maendeleo ya maana , kwahiyo una maanisha Bashite kaibiwa nyota pia hahahahahahhaa
It seems the shinning star of Tanzania was stolen by whites for so long time ago .
 
Usijali nilicho nacho kinanitosha sitaki nipate pesa ya mhitaji... Pesa sio kila kitu kwangu nina jinsi ya kuzipata ninazotaka[emoji23]
Kuhusu mada zangu kuwa za ujanjajanja hujanitumia link nizione
Mshana ni kwamba hujawatambua tu hawa raia? Wengi wanaopinga haya mambo ndio wachawi na washirikina wa kutupwa hawataki kabisa watu wajue siri zao...
 
Back
Top Bottom