Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Nilikuwa na wa hivi....sema alikuwa ana pesa balaa halafu anapiga mechi si kitoto
hii vertically haiwezekani...hadi horizontal!!
wanatafuta uraia wa ulaya, sijui nchi gani
Nilikuwa na wa hivi....sema alikuwa ana pesa balaa halafu anapiga mechi si kitoto
Sijakuelewa kwa hiyo ulikuwa unapenda pesa zake au mechi zake?
'I'm different and he's different, and where we're from, different is good.'Ilisharuka hii