Dunia mnaipeleka wapi, wajameni??

Iko pale pale mkuu wala hatuwez isogeza
 
Salamander Mkuu kwa kua huyo mtu humfahamu kwa heshima yake bora uitoe hii picha, sababu ni moja tu, najua umeweka hapa coz unadhania ni mwanaume shoga lakini unasahau kua wapo wanawake ambao wana hormonal imbalance ambao miili yao inaota nywele kama mwanaume, na ni wengi tu, sasa kama huyu ni mwanamke unakua umemkosea heshima na itamuuma.. Unless una uhakika 100% kua ni mwanaume which am sure you don't coz ni random pic umetoa online. Jaribu kuangalia kitu katika pande zote mbili
 
Last edited by a moderator:

Mh alipiga picha ya nini sasa na kuruhusu isambae..

Tena akiwa mwenye tabasamu pana
 
Last edited by a moderator:
uko sawa kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mh alipiga picha ya nini sasa na kuruhusu isambae..

Tena akiwa mwenye tabasamu pana

Hehehe mkuu unajua siku hizi internet imekua sehemu ya watu kujaribu kutafuta "acceptance" wanataka wakubaliwe na society, unakuta mtu alikua kajificha miaka mingi sababu watu wanamcheka jinsi alivyo, sasa anaona atoke wazi ajionyeshe watu wote wamuone hiyo inakua inarelease ile loneliness ambayo mtu anakua nayo, sio kwa wanawake wenye nywele za kiume tu ila watu wenye matatizo mbalimbali, wengine wanene sana, wengine wembamba sana, wanajaribu kukubaliwa na jamii tu nothing more, nimeona so many cases za hivo, sisemi hii ni case mojawapo kwa kua hata mimi simjui huyu mtu, lakini nimejaribu kumuelimisha mleta mada awe anafikiria pande zote mbili na sio ku-judge mambo mapema.
 
...ni liremboo bhahahaaaaaa...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…