Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 555
- 661
Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika.
Ni pale UN itakapokuwa na jeshi lake, lenye kupokea order kutoka baraza moja la kijeshi ujue dakika za kutawaliwa kwa maslahi ya hawa jamaa wachache umefika.
Ni pale utakapoona Israel imekosa rafiki, na kuonekana ni adui wa kila nchi duniani; na kufikia kuwa na tishio la kuanguka kwake, ujue new world order inaanza kufanya kazi
Ni pale tamaduni zitakapokosa nguvu, mfano tamaduni za China, Japan, India ujue wakati wa kutawaliwa na serikali moja umefika.
US yenye bajeti ya kijeshi Zaidi ya nchi kumi zinazoifuatia, ikiungana na hizo nchi kumi kwa mfano ni nani atakayepinga NewWorldOrder?