Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
Mkuu umenichekesha sana yaani kama ni uwezo na maarifa basi hawa jamaa walipewa haswahapa ndio huwa naushangaa uwezo na upendo wote wa Mungu wenye ubaguzi ndani yake!!!!
story za kusadikikaKuna sayari zinaishi viumbe, wana akili kuliko wazungu...!
Wakuu hili swali huwa najiuliza sana, kwamba hii dunia ingekuwaje bila hawa watu. Mambo mengi katika hii dunia wao ndo wagunduzi kuanzia mambo ya teknolojia, kieletroniki, sayansi na mengine mengi wakati Africa hakuna kitu cha maana chochote tulichofanya wakati white people ndo walioifikisha dunia hapa ilipo.
Hivi bila hawa jamaa ingekuwaje?
Mima kiliManjaro !!!Walipogundua Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kama vile babu zetu hawakuyaona.
Hawa jamaa wanatuona sisi mbwiga sana. Ninakumbuka wakati nilisikia kesi ya kaka wa kichaga, alikwenda kufanya PhD Uingereza, walimpa thesis ngumu sana ambayo wanafunzi wengi waliishindwa, mchaga aliipasua, hawakuamini, walimwita na kumpa kazi, lakini hawakumpa mshahara wa PhD holder, kaka wa watu aliifikiria ile package, na visa, alikubali. Mke wake alipelekewa barua kutoka mgombani anafika Dar anaambiwa lete passport yako na za watoto mchukue visa zenu.Mima kiliManjaro !!!
Haijambo walimThamini na UTU wao wa aina hiyo ndiyo unawaOngezea maarifa na baraka !!Hawa jamaa wanatuona sisi mbwiga sana. Ninakumbuka wakati nilisikia kesi ya kaka wa kichaga, alikwenda kufanya PhD Uingereza, walimpa thesis ngumu sana ambayo wanafunzi wengi waliishindwa, mchaga aliipasua, hawakuamini, walimwita na kumpa kazi, lakini hawakumpa mshahara wa PhD holder, kaka wa watu aliifikiria ile package, na visa, alikubali. Mke wake alipelekewa barua kutoka mgombani anafika Dar anaambiwa lete passport yako na za watoto mchukue visa zenu.
Ni kweli na watoto wanapata elimu bure, akichange £ ghorofa mgombani linasimama.Haijambo walimThamini na UTU wao wa aina hiyo ndiyo unawaOngezea maarifa na baraka !!
Ngoma kubwa ipo hapa nchini.... "huyo ndugu yetu na bongo lake angeliambulia uhamisho wa mikoani baada ya mkoa"
Hongera zake....Ni kweli na watoto wanapata elimu bure, akichange £ ghorofa mgombani linasimama.
Nyie mnatafuta nipewe ban bure, koma kabisa, tena ukomeeeeee..... Kama ulivyo koma.hapa ndio huwa naushangaa uwezo na upendo wote wa Mungu wenye ubaguzi ndani yake!!!!
Nyie mnatafuta nipewe ban bure, koma kabisa, tena ukomeeeeee..... Kama ulivyo koma.hapa ndio huwa naushangaa uwezo na upendo wote wa Mungu wenye ubaguzi ndani yake!!!!