Dunia inelekea ukingoni.

Miaka ile ya 1980 mwanzoni kulikuwa na kwaya ilikuwa na wimbo usemao 'na wanyama wataangamia kwa dhambi zako ewe mwanadamu'
Tujuavyo wote njia ya bata /kuku ni moja hiyohiyo mapenzi, hiyohiyo uzazi, hiyohiyo haja kubwa na ndogo....sasa hapo hicho kijibwa kinafanya matusi mabaya kabisa
 
ukame jamani halafu namsifu naona hapo mtaani hakuna mbwa wakubwa sasa kaona kuliko abake tumbwa tudogo bora bata mkubwa mwenzie
 
​Mbwa anataka kile anachokikosa kwa mbwa wenzie.
 
​Mbwa anataka kile anachokikosa kwa mbwa wenzie.

Hahahahaaa mbona nao wanatoa siku hizi? Nakumbuka wakati fulani kule Babati kwenye kambi ya NORAD miaka ile kuna wazungu walikuwa na mijibwa mikubwa mitano ya kiume sasa wakati wa chakula ambacho ni nyama tupu ya porini wakipewa hilo moja lilikuwa halihangaiki kula, wenzake walishaanza tu kula kilafilafi lenyewe linawapanda...! Ilikuwa inashangaza kweli
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…