Dunia inameshakwisha jaman!! nini hiki sasa?

Dunia inameshakwisha jaman!! nini hiki sasa?

hasason

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,542
young-married.jpg

child2.jpg

8yr%20old%20marry%2061%20yr-woman2.jpg

Pigeni magoti tusali huu uovo ni mwisho!!
 
Hawa wanafanya kweli, Bibi yangu alikuwa akiniita "mume wangu".
 
He! Nilivyoona kichwa cha habari niliogopa sana, nikajua wenzangu wameshatwaliwa mimi nikaachwa! Dunia imeshakwisha naw wewe bado upo ndani yake? Au umepost kutoka mbingunupi?
 
He! Nilivyoona kichwa cha habari niliogopa sana, nikajua wenzangu wameshatwaliwa mimi nikaachwa! Dunia imeshakwisha naw wewe bado upo ndani yake? Au umepost kutoka mbingunupi?

Hahahaa! nipo hapa Heaven mkuu yanayotokea huko duniani yananikatisha tamaa kabisa!

naona kama ntakuwa mwanadamu wa mwisho kufika huku kwa hali ilivyo tete huko.
 
Naombeni nimsaidie dogo kwa ridhaa yenu, akikua namwachia mzigo wake
 
Hayo nimamboyakimila yakiafrika aikweli nindoa walikuwa wanakamilisha kimila kama babuhakufunga ndoa basimjukuu funga kwamaniaba yababu
 
Hiyo Movie waliyokuwa wanashuti inakwenda kwa jina gani vile?
 
Huyo kijani ni mbilikimo tu,hivyo hapo kuoa ni sahihi,hahahahaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom