Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,155
- 38,962
Mkuu kwa mfano upo kwenye basi umekaa kiti namba 3 toka dar es salaam kwenda Dodoma.Unaongelea mabadiriko au kuhama? Maana Mimi najua kuhama ni kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Kwa maelezo yako naona umejikita kuelezea mabadiriko badala ya kuhama au kutembea kwa dunia kama ulivyoelezea kwenye kichwa cha mada.
Na kama ni kuhama kwa dunia sioni kama kuna uhalisia naona ni kama theory tu ambazo hazina uthibitisho wowote. Tuchukulia mfano mkoa wa dar, kama kweli dunia inahama (kutoka sehemu moja) kwa nini dar iko pale pale? Kwanini siku moja watu wa dar wasijikute wapo hata north pole or sourthen pole? Kwanini dar iko pale pale wakati huo unasema dunia ina hama? Au wewe unaongelea mabadiriko yaliyokuwepo dar 1970 na utofauti wa 2023? Kipi unaongelea?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifika Dodoma unaweza kujikuta upo kwenye kiti namba 1 au kiti namba 45?