Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,056
Acha uongo mbona huko USA, Europe, ASIA tena kule SE, wanakubwa na vimbunga kila mwaka si wangevihamishia huku kwetu? Kasome Typhoon na Catrilina, Earth quakes nk. Dunia imejishape sisi ambao tuna magonjwa kama malaria, HIV and AIDS, Ebola nk hatukumbwi sana na majanga ya asiliToa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,
Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,
Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,
Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...View attachment 887035
Maleria, HIV, Ebola, kifua kikuu wakuongezee na vibunga vya Catrina Afrika SI mtakwisha....one stap by another, saa hizi pambaneni na maradhi ukosefu wa chakula maji Safi na malazi kwanza, utafika muda tu mtaletewa Catrina,na Tsunami, akili ya mtu mweusi Ni fupi Kama maisha ya funza, wewe unaangalia leo wenzio wanaangalia maisha yajayo...Acha uongo mbona huko USA, Europe, ASIA tena kule SE, wanakubwa na vimbunga kila mwaka si wangevihamishia huku kwetu? Kasome Typhoon na Catrilina, Earth quakes nk. Dunia imejishape sisi ambao tuna magonjwa kama malaria, HIV and AIDS, Ebola nk hatukumbwi sana na majanga ya asili
Achau uongo we jamaa, tecnolojia zimeanza juzi tu, mvua na majanga vilikuwepo miakamingi sana iliyopita.Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,
Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,
Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,
Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...View attachment 887035
Usimbishie... Itakuwa kaambiwa na dada MangeAchau uongo we jamaa, tecnolojia zimeanza juzi tu, mvua na majanga vilikuwepo miakamingi sana iliyopita.
Mkuu Ndama, ahsante kwa ujumbe, ila ni lazima upate upinzani mkubwa kutoka kwa wachangiaji kwa kuwa ujumbe wako haujabeba ushahidi wowote kama kithibitisho cha usahihi na ukweli juu ya ujumbe wako.Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,