Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,368
- 4,056
Toa akilini mwako Kama unaamini kuwa Mungu ndiye husababisha mvua kubwa ,pepo na majanga mbalimbali yatokanayo mafuriko duniani utakuwa upo sayari ya 200 BC,
Rejea kwenye mashindano ya Olimpic ,
Wazungu wamekuja na mtindo wa kutengeneza mvua kali zenye upepo mkali na mbaya zaidi wanazifanyia majaribio kwa nchi maskini tena zisizo na HATIA , Lengo lao moja tu DUNIA yote isaini mkataba wa "mabadiliko ya tabia nchi uliofanyika France,
Zaidi wanasayansi wameenda mbali na kuzuia mvua kwa nchi wanazotaka wao wenyewe sio ajabu Tanzania baada ya miaka 4 mbele hapatakuwa na mvua kwa mwaka mzima na hata ikinyesha ni manyunyu sana, huu mpango unaratibiwa na watu walioona mbali sana kwani chafu tena yenye kumzihaki Mungu,
Kwa neno la Lugha yako tamka kuiombea nchi yako, usije ukasema Omary Ndama hakuwahi kutamka haya, nawapenda sana ndio maana sichoki kuwadadavulia kilichopo na kinachoendelea katika sayari yetu hii, haya mwenye kukubali liombee Taifa lako na mwenye kupuuza comment ujinga wowote nao ni jibu tosha kwa wajinga wenzako
Asubuhi njema...