Dunia ina mambo

Dunia ina mambo

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Habari wana MMU,

Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Asante' sijashangaa sana si unajua weekend bwana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona asante! Wewe wako amekusave vipi!? Hata sijui ana maana gani!? Ila muhuni muhuni tu!��
 
nilibahatika kuiona yangu kanisave "bodaboda-shambani" sikuwa mkali maana kitoto kizuri yaani piga upigavyo kitu ngada
 
Malaya nani?
Yeye au wewe unayechepuka???

Habari wana MMU,
Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Ahsante' sijashangaa sana si unajua weekend bhana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona ahsante!!
Wewe wako amekusave vp!?? Hata sijui ana maana gani!? Ila malaya malaya tu!😄
 
Dizain kama iyo maada cjaielewa vzr hiv. kma vp edit uandke upya ieleweke bingwa. wala cjapta pcha what u mean man
 
Dizain kama iyo maada cjaielewa vzr hiv. kma vp edit uandke upya ieleweke bingwa. wala cjapta pcha what u mean man

hata mim sijaelewa maana ukiseviwa ahsante tatzo wap coz wote wachepkaj na hamtak mtu ajue km ni mchepk. Sa cjui anamaansha nin zaid hapo.
 
Habari wana MMU,
Kwa mara ya kwanza nimeona mchepuko kani save 'Ahsante' sijashangaa sana si unajua weekend bhana kaacha simu kaenda washroom nikambeep naona ahsante!!
Wewe wako amekusave vp!?? Hata sijui ana maana gani!? Ila malaya malaya tu!😄

Mimi nilikuta kani save " Plazinum baby" nilishangaa sana nikamuuliza kulikoni akaniambia acha ivo ivo?🙂
 
mimi mchepuko wang kan save....MPINI..nika edit nikaandika jina langu...
 
Bora Yako Wewe 'Ahsante' Wengine Wanaseviwa Majina Kama;
Katuni
Boya Flan
Wakujipendekeza
Mbeba Mkoba
Chaoka Mbaya
Kibamia...................................Nk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom