Dunia ina Mambo...

Read carefully before replying child.
 
Ukaona uweke English waone ilikuwa makusudi siyo illiterate kuandika vile hahaaa

Relax
 
Ninini hiki nimeshindwa kuelewa hizi shule za kata
 
pisi jacky,

Una hoja ya msingi, sema jitahidi bhana hapo kwenye "r" na "l"....

"Mala" badala ya "mara?! Hapana aisee!!

Maybe asili yako ndio mzizi wa tatizo but try harder!!

Inawezekana hufahamu, but trust me, it's boring!!

Very boring.
 
Nilipokuelewa ni pale tu si lazima uoe mwanamke mwenye kipato kikubwa...

Ila huku kwingine ni kumtia uoga mwanaume kwamba asipojisimamia atagongewa...

Nachojua Mimi ukioa malaya utagongewa tu km sio leo kesho,na ukioa mwanamke mwaminifu haitakaa itokee,Simpleeee.

Mtu anafanya like kilichopo moyoni mwake.Mfano mtu akiibiwa simu yake Kuna atakayefunga na kuomba Mungu amlipizie kisasi,Kuna atakaenda polisi na Kuna atakayeenda kumtia mtu busha.Wote wamefanya maamuzi tofauti ku solve ishu moja.

Washauri wasio vicheche
 
Hapa labda unajizungumzia wewe

Sio wanawake tunaowajua sisi majority ni wachoyo wa asili
 
Nature is nature mwanaume always anatakiwa aheshimiwe na mwanamke apendwe utatetea sana but asili ya ndani hua haijifichwi and remember always respect is earned. tofauti na upendo
 
Hapa labda unajizungumzia wewe

Sio wanawake tunaowajua sisi majority ni wachoyo wa asili
Sasa ndo tunakwambia wanawake sio wachoyo na huyo wakwako kama ni mchoyo wewe ndo sababu
 
Leo Arsenal tunapasua mtu. Hizi timu ndogo Everton, Leeds & co kimefika kipindi cha kuonyesha their true colors.

Wale mnaofurika page ya IG ya Villa kutukana mjiandae.
 
Jiwe gizani ukisikia "paaaaah" limefika sehemu husika lol. Wahusika wana haha uwiiih
 
Leo Arsenal tunapasua mtu. Hizi timu ndogo Everton, Leeds & co kimefika kipindi cha kuonyesha their true colors.

Wale mnaofurika page ya IG ya Villa kutukana mjiandae.
Elneny na Partey bila kumsahau gabriel hizi ndio nguzo zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…