Dunia ina maajabu yake

Ombea iwe chai hivyo hivyo

Kama ni ishu ya kweli basi iwe mwanzo na mwisho leo, usirudie tena kamwe kumpa mtu simu yako ajipigie. Litakukuta jambo hautaamini.
 
Umejuaje ni single mother
Kuna vijana humu wanatamani kuzaliwa wanawake kwahiyo muwazoee, na wengine wanatamani kuwa single mother tatizo uwasilishaji wa hoja zao wanazunguka sana.

 
Nmejikuta nacheka kama najua ulichotaka kukifanya. Sema nini huo ndo uanaume wenyewe maana angekuona wewe kama hawa wenzetu wanaotaka kupelekewa moto kama usingejaribu kurusha hata jiwe tu
 
Lazima akutukane, ameweka mazingira vizuri anashangaa dume upo kimyaaa. Ilipasa uifany9e kazi hiyo namba.....ndicho alichomaanisha katika kujipigia kwake kupitia simu yako.
Tunamisplace simu nyumbani labda au eneo lolote kubwa tulilokaa; sasa huyo njiani alikuwa anaitafutia wapi simu hiyo kiasi hadi ikalazimu kupigwa?!! Kwenye handbag?!!!! Ulitakiwa ujiongeze........
 
Uongo huo, mtu hawezi tu kukutukana bila sababu,mtoa mada SEMA Kuna kitu umetuficha
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah,nimecheka sana
 
[emoji23] Ebu kuwa mkweli akutukane tu hivihivi na mtu ulimsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…