Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

Tafakuri yako ni nzuri mkuu but something to note is that global movement inategemea sana financial stability na economic strength ya mtu mmoja mmoja na nchi kwa ujumla wake. Kwa hali ya kiuchumi ya wa Congo (DRC) in particular kama core point ya Ebola na Waafrika kwa ujumla, uwezo wao wa kusafiri nchi tofauti tofauti kwa shughuli za kibiashara ni mdogo mno na kwa walio wengi uwezo huo haupo kabisa. Na hata kwa watu toka mataifa ya Amerika, Ulaya na Asia, kwa walio wengi, hawana na hawakuwa na sababu za kibiashara kuja katika mataifa ya Afrika yaliyokumbwa na Ebola. Hakika hii ndo sababu kubwa ya watu na mataifa toka Mabara hayo kutokumbwa na ugonjwa wa ebola kabisa.
natafakari hivi kama Corona ingeaznia Afrika ingeweza kufika/kuingia barani ulaya ?!
maana Ugonjwa wa ebola ulianzia Afrika na haujawahi kuingia barani ulaya
.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona inaua wazee na watu wenye matatizo mengine ya kiafya, watu wa kawaida hata wazungu wakiipata huwa nao wanapona tu
China karibia wote wamepona sasa hivi

Afrika tunaweza tusione vifo vingi sababu hakuna wazee wengi kama Ulaya, na kama hakuna wazee wengi haimaanishi sisi ndio bora, kwani inamaanisha tunakufa sana tukiwa vijana ndio maana nchi zetu hazina wazee

Kingine ebola ilipolipuka Afrika magharibi na hapo DRC walioigundua, wakayoa vipimo na dawa na kusaidia kuitokomeza ni hao hao wazungu, wazungu wangeamua kukaa kimya hata bara zima lingeweza kufa
Hakuna Muafrica anayeweza kutengeneza vifaa vya kupimia ebola, wala chanjo wala dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jonnny, please get the facts correctly by scientific analysis of the statistics of this pandemic. Acha kudandia ki layman! Haya tuanze:

1. Wazee kwa definition ya sasa ya WHO ni umri wa kuanzia miaka 70.

2. Case fatality rate (CFR) za mlipuko unaoendelea inapatikana kwa kuangalia matokeo ya cases zilizofikia mwisho ie cases which had an outcome (recovered or discharged or died). It excludes cases which are still active in hospital (whether mild, moderate or critical) which we do not know what will be their outcome.

3. Kwa takwimu za Worldometer za tarehe 21/3/2020: 16:20 GMT:
Total cases which had an outcome were 105,571.
- Recovered/discharged were 93,618 = 89%
- Deaths were 11,953 = 11% CFR
- The average CFR for those aged above 70 years was 14% ie 1 out of 7 cases

4. Hizo ni takwimu za jumla. Lakini ukiziangalia kwa kijografia CFR hizi zinaonesha utofauti mkubwa kwa kila nchi. Kwa mfano:
- China CFR 4% (3,255 deaths out of 81,008 cases who had completed outcome.
- Iran 7.1% (1,556 out of 20,610)
- UK 4.6% (233 of 5,018)
- Japan 3.4% (35 of 1,007)
- India 1.5% (5 of 321 cases)
- Russia 0.3% (1 of 306)
- Israel 0.1% (1of 883 cases)

- ** Italy ndiyo imekuwa balaa na CFR ya 44.2% (4,825 deaths out of 10,897 cases who had completed outcome)!

- Africa south of the sahara - nchi 27 ikiwamo Tanzania 0.8% (5 deaths out of 564 cases) Na vifo hivi vimetokea kwenye nchi tatu tu kati ya nchi hizo 27 zilizoathirika. Nazo ni Gabon 4 cases 1 death, Mauritius 14 cases 1 death, Burkina Faso 64 cases 4 deaths.
South Africa ambayo ndiyo inaongoza kwenye kundi hili kwa kuwa na cases 240 haikuwa na kifo hata kimoja na sasa hivi wagonjwa wote walisharuhusiwa.

5. Kwa takwimu hizi ndiyo maana tunasema kuna genetic factor ya kijografia.

6. Support nyingine ya genetics ni kuwa hadi sasa ni kuwa vifo hivi vinatokea zaidi kwa wanaume. In a recent study published in the Lancet found out that 80% of the deaths due to covid 19 were in males and just 20% were in females. It is known that the X-chromosome contains a large number of immuno-related genes. Women have two such chromosomes while men have only one. That is why women generally live longer than males.
 
Kwanza nimesema Afrika haina wazee wengi inaweza kuchangia watu wengi kutokufa, lakini kutokuwa na wazee wengi haimaanishi kuwa wewe ni imara inamaanisha mifumo ya afya nchini kwenu ni dhaifu ndio maana watu wengi hawafikii kwenye uzee

Lakini pia vile vile kupata accuracy kubwa kuhusu fatality rate, yafaa kuchukua sample kubwa, sample ndogo zinaweza ziskupe majibu sahihi, Afrika kwa wagonjwa 564 bado ni sample ndogo halafu ugonjwa bado haujakaa muda mrefu

Mfano Israel ambayo ni nchi ambayo ipo mashariki ya kati kama Iran ina wagonjwa 881 na kifo ni 1 tu, sasa hapo ukiangalia fatality rate inakuwa 0.11% ambayio ni ndogo mno kuliko kawaida, ila kadri muda utakavyopita na wagonjwa wengi kupatikana hii itabadilika, So ishu ni kuchukua tahadhari sio kujiaminisha mapema mapema hivi kwa sample ndogo na muda mfupi
 
Hii kali sana
IMG-20200322-WA0061.jpeg

Jr
 
Hata israel walivyoleta jeuri waliletwa africa kwa mda wa miaka 40 wakifyatua tofari na kuzichoma kwa nyasi!
Hii corona anatakiwa pompeo ailambe ili impe adabu!
 
tatizo Africa hata mtu akifa kwa corona sio rahisi kujulikana,hata idadi halisi ya wagongwa sio rahisi kujulikana maana hata vipimo vyenyewe hakuna na kama vipo havitoshi ama vibovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom