Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Hata huko napo kuna madudu vile vile hao watumishi sio malaika ni binadamu na wanamadhaifu. Mtumish hakupelek mbinguni au kanisa. Matendo yako tuu na iman kwa Mungu wako. Utahama makanisa mengi kwa mtindo huoCha kukushauri tafuta kanisa la kiroho ambalo litakusaidia kujenga roho na kuwa mtumishi wa Mungu japo najua watumishi wa Mungu nao ni wanadamu lakini kuna upungufu fulani katika makanisa yenu ya dini kama roma.kkkt.wasabato na ndo maana hata mm nilihamaga na sijawahi juta...fanya maamuzi sahihi
what is your point here? You want us to believe that GOD is not there because his servants are sinning?Galacha
It's time to see the world in new perspective
How can Moral-perfect God allow his words to be preached by Evil persons?Does satan is so strong?
you're curious now,start to challenge ur religion stand
ur girl-friend is quite right,because God has nil effect in her own action and world at large
Unatakiwa usikilize neno la mungu, sikiliza mafundisho.
Maswala ya kumfuatilia mchungaji au paroko nadhan hata ukihama makanisa yote ukiwa na tabia hiyohiyo utaishia kulaumu
Anakisi na naniiii? "Baba paroko"
Cc @sumbai....njoo
Ha ha haaa hamna tatizo.....Khee kheee.....
Mama paroko. Kwani kunatatizo jaman
Unajenga kanisa....Ha ha haaa hamna tatizo.....
Chezeiyaaa baba paroko wewe
Cha kukushauri tafuta kanisa la kiroho ambalo litakusaidia kujenga roho na kuwa mtumishi wa Mungu japo najua watumishi wa Mungu nao ni wanadamu lakini kuna upungufu fulani katika makanisa yenu ya dini kama roma.kkkt.wasabato na ndo maana hata mm nilihamaga na sijawahi juta...fanya maamuzi sahihi