Dunia imekwisha kwa kile nilichokiona.

Dunia imekwisha kwa kile nilichokiona.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
bila shaka hata wewe ulikuwa kwa huyo dada kuangalia paja. ulijuaje yaliyoendelea kwa huyo dada kama ulienda kutoa msaada kwa huyo mgonjwa mwingine??

kweli maisha bila unafki hayaendi

neno lako ulibidi nimuulize me ila umeniwahi
 
Back
Top Bottom