mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,485
- 57,402
Sasa wewe si ungempa pole jamaa shida nini?mwisho wa dunia mpaka yesu arudi.akae miaka 40.leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha la paja mkuuu na mimi nilioneNimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi
Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno
Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja
Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi
Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno
Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja
Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwe Prof!!!!!Inamaana umeshindwa hata kuchukua picha ya hilo paja na sisi huku tulione.
-Ndumilakuwili-
Kwa mwandiko wako huo wa kwenye L unaweka R na kwenye R unaweka L, huenda uliona mkono ukadhani ni paja..
Nilishindwa kuchukua picha watu walikua wamejaa mnoHujapata kapicha boss?
G.Don-Master.
Jaman kumbe hata humu wamomtutumie na picha. za ilo paja tulio mbali na tukio tupambane na hali zetu....za kutumia sabuni na mafuta...chaputa
Kwakwel watu walikua wanampa pole hadi wanamshika kwenye pajaHilo paja nilanamna gani ambalo kila mwanamme na wewe mtoa post ukiwemo lemewavutia mpaka mnasahau hata kumuokoa kidume mwenzenu.
mafisadi hayana rangi
Msela awajamtendea haki kabisaNimekuta ajari ya bodaboda dakka chache imeshatokea ambapo dreva alkua amebeba abilia wawili mwanaume na mwanamke mschana mlembo mlembo ivi
Pkpk ilipalamia mtalo na kuanguka dreva hakuumia sana ila ablia yule mwanaume kaumia goti lmebanduka na mshipa wa nyuma ya kisigino ukakatka kaumia mno
Chaajabu
dada mlembo amejipalaza kidogo tu sehem za kwenye paja na mkono, sasa mimi kilichonishangaza watu hasa wanaume namidevu yao wanakuja kuangalia tukio hawana habari nayule alieumia sana wanawahia kwa yule dada aliekua kajikwaruza seem ya paja
Yule dada alikua ameivuta nguo paja akaliacha wazi basi watu walikua wamejaa kwake sjui tunaelekea wapi, kila mtu pole dada pole dada dah kwakwel leo nmechoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu jf ndo maana naipenda napenda sana kukosolewaWatanzania kiswahili bado hatukijui:R-L
Ajari=Ajali
Mtalo=Mtaro
Abilia=Abiria
Mlembo=Mrembo
Palamia=Paramia
Palaza=Paraza