Miaka mitatu je mama mtu katika mwaka mzima inamaana hana hata siku moja yakumuosha mwanae,Maana kama angemuogesha angemtawaza na angegundua tofauti ya mwanae,Eee Mwenyezi Mungu tuhurumie sisi wanawake na watoto wetu ,niuchungu ulioje huyo mama alioupata maskini.???