Mwanamke mpumbavu huaribu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, mtoto amekuwa akiingiliwa nyma na mbele na mtu mzima kwa muda fulani bila ya mama mzazi wala msicha wa kazi kujua? je mtoto huwa anaoga mwenyewe? kwamaana kwa umri wake lazima ingejulikana siku ile ile ya kwanza, labda kama baba ana kiboo cha kitoto kidogo.
Sitaamini hadithi hii labda tu uniambie mama huyu alikuwa hana akili timamu kama mumewe. Kwangu mimi hata mtoto wa miaka 13 lazima atalazwa hospitali.