Mkuu nimeiona yaani Aibu.
Mtoto wa miaka 8,mzee kala buku hamsini kamuozesha.
Halafu yule mtoto akapewa somo wa kumshindika mtoto mwenzie wa Miaka 10.
Yaani Dunia imekwisha kweli
Babu huyo amfunguliwa mashtaka ya ubakaji na baba mzazi wa mtoto huyo amefunguliwa mashtaka mawili,
1.kumuoza mtoto mdogo chini ya umri wa miaka 18 na
2.kumkatisha masomo mtoto huyo masomo yake.
Ni siku nyingi toka Mohammed Makongo alipotoa taarifa hii katika matukio. Leo alifikishwa ktk mahakama ya wilaya ya Bunda. Halafu mahari ni 55,000 sio 54,000 kama ulivyosema. Then, baada ya mali kutolewa alipewa mtoto mwingine wa darasa la 7 ambaye pia alimgeuza mke wake kwa nguvu. Huyo mzee ni wa kijiji cha bigegu huko porini kuvuka Ikizu hapa wilayani Bunda. Kesi itasikilizwa tena Desemba mwaka huu.
Mbona umasaini hii kitu kawaida sana. Mnapopigishana kelele kama mmekunywa viroba wengine ndio maisha yao yalivyo wanaoa na kuozesha kila uchao. Binti akifika miaka 9 amepevuka tayari mengine ni subira yako tu na unavyojielewa wewe mwenyewe ukiacha kufuata mila na desturi za serikali na haki za binadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.