HahahaKhaaaaa ashukuriwe iceman jamani
UsijaliUje nihadithia kidogo
HahahahaUnajua waweza lia sababu nafsi inakusuta?
Au kile kilio chaweza kuwa cha furaha
Simwamini bokasa hata robo
Eeeh! Na Rose angekuwa mtu wa Iringa angekuwa alisha jinyonga.Yaani ile stage ambayo rose anapitia waweza sema Mungu hayupo,kila kitu chaenda mrama,sad
Yawezekana lakini acha tusubiri mwisho wa siku tutajua nani alihusika.Hahahaha
Mi nimeanza kuhisi labda Bokasa hakupanga kumwua ila ame enjoy tuu matokeo ya kuuawa Mapoto
Yo always be my brodaYeaaah! Thats my lovely sis.
Ameji mkwawa mapemaaaEeeh! Na Rose angekuwa mtu wa Iringa angekuwa alisha jinyonga.
Hahaha.mlikutana wapi anakoma jamani sakayo akionana nae popote salam zinafika kama zilivyo halafu akaniambia nilikubaliana na sakayo asikwambie
Ney huwa hajui wap natania wap niko siriaz, sasa hapo ndio anapata shda.Ney asingekuwa analia lia vile
I bet ni watu wasio julikana kias hata Bikasa hawajui, au wenzie ndani ya chama.Yawezekana lakini acha tusubiri mwisho wa siku tutajua nani alihusika.
Thats why I love youYo always be my broda
HahahaAmeji mkwawa mapemaaa
Acha niache maneno ya akiba kwanza nisije umbuka huko mbeleI bet ni watu wasio julikana kias hata Bikasa hawajui, au wenzie ndani ya chama.
Wewe utaonafoleni ya watu wengi hiyo vipiiii
Acha niache maneno ya akiba kwanza nisije umbuka huko mbele
Hahaa
Mimi niki gues huwa nakuwa sahihi